ืืคืฉื ืืืื ืืงืก ืงืืืฆืืช ืืืืืืกืืค ืฉื WhatsAd ืืื ืืืฆืื ืืช ืืืืืืช ืืืืชืจ.
ืชืืฆืื ืืืช ืืืื ืืงืก ืืงืืืฆืืช ืฉื WhatsAd
Karibu sana dada au mama kwenye Group la Afya Bora ya Uzazi kwa Mwanamke. Tunafurahi kukuona hapa, maana sasa umejiunga na jamii ya wanawake wanaotaka kuboresha afya zao kwa njia salama, sahihi na za kitaalam. Katika group hili utapata. 1.Elimu ya kina kuhusu UTI sugu, fangasi, miwasho, PID, maumivu ya tumbo la uzazi ,uvimbe kwenye kizazi,Endometriosis,kuziba kwa mirija ya uzazi,Hormone imbalance,Miscarriages, n.k. 2.Ushauri wa kibinafsi kuhusu hedhi isiyo sawa(irregular period), maumivu, uzazi na changamoto nyingine. 3.Miongozo ya lishe na tiba lishe ambazo zimewasaidia wanawake wengi kurudi katika hali yao ya kawaida. 4.Ofa maalum za bidhaa zinazosaidia afya ya uzazi kwa gharama nafuu kwa wanachama wa group pekee. 5.Mafunzo ya mara kwa mara yanayoendeshwa na Dr. Khim Ibrahim kutoka Afyataasisi. 6.Matibabu ya kuduma ya matatizo yote ya uzazi kama vile uvimbe kwenye kizazi bila upasuaji mfano ocysts na fibroids,saratani ya shingo ya kizazi,kuzibua mirija ya uzazi,kuweka s awa mzunguko wako wa hedhi,kurekebisha homoni zako,Ugumba,mimba kuharibika mara kwa mara nk Lengo letu. Kukusaidia kuimarisha afya yako ya uzazi, kuondoa changamoto zinazorudia-rudia, na kuhakikisha mwili wako unarudi katika uwiano wake wa kawaida. Jisikie huru kuuliza chochote muda wowote kwan upo sehemu sahihi. Karibu sana, safari ya kuboresha afya yako inaanza leo ๐ Kwa maswala private unaweza kuwasiliana na mtaalamu moja kwa moja kwa njia ya kupiga simu au ujumbe mfupi wa meseji ya kawaida au ya whatsapp,0754638695.
ืงืืฉืืจ ืืืื ื ืืืืืช, ืคืจืื ืืืจืื ืืืคืฉืจืืืืช ืคืจืกืื ื-WhatsAd.
*TUNAKUKARISHA KWENYE GROUP LETU LA AFYA YA MWANAUME ELIMU NA TIBA ASILIA*๐๐๐๐๐ *UTANGULIZI* โ๏ธHapa utaweza kujifunza mambo mbalimbali ya kuimarisha afya yako kama mwanaume, vyakula vya kutumia zaidi kama mwanaume na mambo mengine mengi zaidi yanayohusu afya ya uwanaume wako. โ๏ธPia kama unatatizo lolote linalokusumbua hasa kama umeathiriwa na kujichua, kibamia,kushindwa kustahimili kwenye tendo la ndoa Kwa muda mrefu na kurudia tendo Kwa wakati, uume mdogo, mwembamba, na changamoto zote zinazohusu afya ya mwanaume, utakuwa upo sehemu sahihi. โ๏ธKwani kupitia group hili utapata ushauri na namna ya kurudisha afya yako ya uume iwe imara kupitia program za mazoezi maalum ya uume, program za virutubisho maalum asilia zilizothibitishwa na wataalam mbalimbali, zitakazokusaidia kuimarisha afya yako na uwanaume wako moja Kwa moja. โ๏ธGroup litafunguliwa Kwa wiki mara mbili Ili kuruhusu majadiliano hasa katika afya ya mwanaume siku zingine ukiwa na swali au tatizo muone admin inbox naye atakusaidia Kwa asilimia mia Moja. โ๏ธMasomo yatakuwa yanatumwa na admin Kila siku,kupitia group letu hivyo uwepo wako katika group hili Wala hujabahatisha upo sehemu sahihi na salama. ๐ค๐ค๐ค๐ค๐ค๐ค๐ค๐ค๐ค๐ค๐ค๐ค๐ค๐ค๐ค๐ค๐ค