ืืคืฉื ืืืื ืืงืก ืงืืืฆืืช ืืืืืืกืืค ืฉื WhatsAd ืืื ืืืฆืื ืืช ืืืืืืช ืืืืชืจ.
ืชืืฆืื ืืืช ืืืื ืืงืก ืืงืืืฆืืช ืฉื WhatsAd
ืงืืฉืืจ ืืืื ื ืืืืืช, ืคืจืื ืืืจืื ืืืคืฉืจืืืืช ืคืจืกืื ื-WhatsAd.
*๐ฟSHIFAA ORPHANS FOUNDATION ๐ฟ* *"Huruma ni tiba kwa kesho bora kwa mayatima"* *Maelezo:* *Shifaa Orphans Foundation* Ni Taasisi ya kijamii isiyo ya kiserikali yenye lengo la kuwagusa watoto yatima na Wenye uhitaji kwa kuwapatia mahitaji ya msingi kama *chakula, elimu, mavazi, huduma za afya*, na muhimu zaidi, *upendo na faraja*. Mradi huu umejikita katika kusaidia mayatima walioko kwenye mazingira magumu na watu Wenye uhitaji, kwa kushirikiana na watu wenye moyo wa huruma kutoka sehemu mbalimbali kwa kufuata maadili ya kiislamu. *Malengo:* - Kuwezesha yatima kupata elimu bora - Kuwapatia mahitaji ya msingi kama chakula na mavazi - Kukuza mazingira salama na yenye fursa kwao - Kukuza mshikamano na huruma katika jamii *Mbinu za utekelezaji:* - Michango ya hiari kutoka kwa jamii - Matukio ya kijamii na kampeni za hamasa - Ufadhili na udhamini *Kauli Mbiu:* *โHuruma ni tiba kwa kesho bora kwa mayatima.โ* *Jinsi ya kuchangia:* Michango yako itasaidia kununua chakula, nguo, vitabu, kulipa ada za shule, na kusaidia huduma za afya kwa yatima wote. *Njia za Kuchangia:* - 23193385 - (LipaKwaHalopesa) - 35822673 - (LipaKwaMpesa) - 0628536720 โ (HaloPesa) - 0757971702 โ (M-Pesa) Jina - *Azizi Ally* *Pamoja tuchangie, pamoja tufanye mabadiliko!* #ShifaaYaMayatima #HurumaNiTiba #ChangiaKwaUpendo #SaidiaYatima #TuwakumbukeMayatima #PamojaKwaMayatima #TuwateteeMayatima