TWINSTAR MWANZA FASHION FAMILY 🇹🇿
( Event's | Tour's & Parties | Charity's | Miss & Models ❤️
🌟 TWINSTAR MWANZA FASHION FAMILY GROUP 🇹🇿
Karibu kwenye Mwanza Fashion Family!
Jukwaa la kuibua na kukuza vipaji, kushirikiana fursa, kuunda marafiki na kujenga mafanikio kwa pamoja kupitia fashion, events, modeling, tours & charity.
🎯 Group Focus:
Fashion & Pageants | Friendly Tours & Parties | Miss &
Modeling Training | Charity Programs | Technology | Youth Empowerment |
Networking | Growth | Fursa
💡 Powered by:
Twinstar Tanzania
“Inspiring Talent, Creating Opportunities, Building Futures”
🏢 Company Info:
- Head Office: Mwanza, Tanzania
- Coverage: Nationwide
- Email: [email protected]
👉 Kufahamu zaidi kuhusu TWINSTAR
Tembelea pages zetu instagram:
@mwanzafashionweek_and_talenttz
@africanyouthgalanight
@twinstartour_and_parties_
@lakezonemodelingagencytz
@visioncharityfoundation
@twinstarfashioncompanylimited. https://www.instagram.com/twinstarfashioncompanylimited?igsh=OGx3ZTJ0bXoycW9o&utm_source=ig_contact_invite
📜 Group Rules:
1. 🚫 Hakuna links yoyote za magroup mengine.
2. 🧭 Mada zisizohusiana haziruhusiwi.
3. 📢 Kwa matangazo binafsi, wasiliana na admin au omba link ya group la biashara.
4. 🧡 Dumisha heshima & lugha safi – hakuna matusi au ubaguzi.
5. 🤝 Shiriki fursa, kazi & matukio – jenga brand yako hapa!
HUDUMA ZETU:
• Maonyesho ya Mitindo & Urembo
• Miss & Model (Mafunzo na Usimamizi)
• Tours, Vacations & Parties
• Charity (Msaada kwa Jamii)
• Matangazo & Branding
• Event Planning & Management
• Technology Solutions
• Empowerment Hub
📞 Management Contacts:
- CEO & Managing Director: [contact hidden]
- Marketing Manager: [contact hidden]
👥 SISI NI FAMILIA ❤️