JUKWAA LA AFYA BORA 🧠 0️⃣1️⃣
🟢 *Jukwaa la Afya Bora 🌿🧠*
Karibu sana kwenye Jukwaa la Afya Bora – sehemu salama ya elimu, ushauri na maarifa yanayohusu afya ya mwili, akili, lishe bora, tiba mbadala na tiba za kisasa. Lengo letu ni kuhamasisha maisha yenye afya kwa kutumia maarifa sahihi, kwa kushirikiana kama jamii inayojali ustawi wa kila mmoja. Hapa utajifunza kuhusu kinga, tiba, lishe sahihi, afya ya akili, na njia mbadala salama za kuboresha maisha. Elimu ya afya ni kinga – tujifunze, tushirikiane, tuboreshe maisha yetu pamoja.
✅ *Sheria za Kikundi:*
1. Heshimu kila mshiriki. Lugha za matusi, kejeli au kudhalilishana haziruhusiwi.
2. Mada kuu ni afya. Epuka mijadala ya siasa, udaku au mambo yasiyo ya afya.
3. Usitume picha, video au sauti zisizofaa au zisizo na maadili.
4. Usitangaze biashara binafsi bila ruhusa ya msimamizi wa kundi.
5. Tumia lugha ya staha na inayofahamika na wanakikundi wote.
6. Taarifa za kiafya zitolewe kwa umakini na ikiwezekana ziwe zenye uthibitisho.
7. Usitume jumbe za kushambulia dini, kabila au imani za watu.
8. Hoja ziletwe kwa heshima, nia njema na maarifa.
9. Ukiukaji wa sheria unaweza kupelekea onyo au kuondolewa kundini.
10. Tushirikiane kwa upendo na nidhamu ili tuwe sehemu bora ya kujifunza na kusaidiana.
Asante kwa kuwa sehemu ya Jukwaa la Afya Bora. Tujenge afya zetu kwa hekima, mshikamano na heshima. Karibu sana.
📢🔥 *RATIBA RASMI YA GROUP LA AFYA!* 🔥📢
🕑 *Muda wa Maswali na Majibu:*
⏰ *Saa 3:40 Asubh hadi Saa 12:30 jion — KILA SIKU!*
---
💬 *Karibu uulize, upate majibu ya kitaalamu kuhusu:*
✅ Magonjwa ya ndani & uzazi
✅ Lishe sahihi & tiba mbadala
✅ Maumivu ya mwili, uchovu, kisukari, presha n.k
✅ Ujauzito, nguvu za kiume, na U.T.I
---
📌 *MAALUM:*
🔍 Ukiwa na changamoto ya kiafya inayoendelea au unahitaji tiba binafsi:
📲 *Wasiliana Moja kwa Moja na Dkt. Musa*
📞 *[contact hidden]*
---
🎉 *WAGENI WOTE MNAKARIBISHWA KWA MIKONO MIWILI!*
🧠 *Elimu sahihi ni kinga — Afya yako ni NGUVU yako!* 💪🌿