ืืคืฉื ืืืื ืืงืก ืงืืืฆืืช ืืืืืืกืืค ืฉื WhatsAd ืืื ืืืฆืื ืืช ืืืืืืช ืืืืชืจ.
ืชืืฆืื ืืืช ืืืื ืืงืก ืืงืืืฆืืช ืฉื WhatsAd
Lukresia Gospel Music, ni group maalum Kwa kusambaza ujumbe unaopatikana kwenye nyimbo za Injili ( Gospel songs). Za Lukresia Mselabuye. https://youtu.be/rOSclyAKJb4?si=UqfzQHsBw8jar3Ln LENGO; ni kusambaza ujumbe wa nyimbo hizi, Ili kuokoa roho za watu, kuponya majeraha ya mioyo ya watu iliyoumizwa, kutangaza ushuhuda wa Injili ya Yesu Kristo Duniani kote, Ili jina la Yesu lihimidiwe na kutukuzwa daima. Sheria za group, 1. a) Hairuhusiwi kutuma matangazo ya biashara, event( matukio), video, picha, link, nyimbo, stickers, emojis ambazo ziko nje na lengo la group , au hazina maadili ya kikristo!. b) Hairuhusiwi kumention group kwa status zisizohusiana na uimbaji 2. Pale wimbo mpya unapotoka hairuhusiwi kupost link or video tofauti na za nyimbo za lengo la group.( Nyimbo za Lukresia Mselabuye). Untill further notice (Mpaka itangazwe Tena ). 3. Lugha za matusi, kejeli, udhalilishaji, chuki, na kila aina ya ukiukwaji wa maadili na Sheria za ukristo haziruhusiwi 4. Waimbaji wengine wanaruhusiwa kutuma link zao lakini Kwa utaratibu huu kwamba, pale mtu anapo post link yake, basi kabla mwingine hajatuma inabidi asubiri baada ya masaa mawili kuendelea, ndipo atume link yake. Kinyume na hapo link au wimbo huo utafutwa. 5. Kuvunjwa Kwa Sheria mojawapo ya group hili kutaambatana na pernat zifuatazo, a) kufutwa Kwa link wimbo or tangazo lililopostiwa kinyume na Sheria b) kuondolewa kuwa member wa group hili. Wapendwa tuongozwe na Roho mtakatifu katika KAZI hii, maadam ROHO MTAKATIFU NI ROHO WA UTARATIBU.
ืงืืฉืืจ ืืืื ื ืืืืืช, ืคืจืื ืืืจืื ืืืคืฉืจืืืืช ืคืจืกืื ื-WhatsAd.
Karibu sana๐, ni muhimu utambue haya๐๐ฝhailuhusiwi kutuma link za magroup mengine hili ni group kwa ajili ya walio mwamini kristo tu. Imba fundisha neno la Mungu tuma link, hailuhusiwi kutuma link zaidi ya mala 2 kwa siku, siku ya kutuma matangazo ni juma mosi na juma pili. Fuata sheria jisรฌkie huru๐. Hailuhusiwi kutuma mambo ya kisiasa
This group is created to share Gospel Music, Videos and Messages from different Men of God to encourage one another to grow in the fear of God and you can also ask questions in the Bible and lyrics of any songs you come across for more understanding. RULES 1) No Sharing Of Porns 2) Only Gospel Links Can Be Shared here 3) Sharing any other thing that doesn't glorify God is prohibited ๐ซ Anyone who goes against this rules will be quickly removed In This Family We Work Hard Colossians 3:23 Keep Our Promises Romans 4:21 Tell The Truth Proverbs 12:22 Count Our Blessings Psalms 34:1-3 Love One Another 1 Peter 1:22