חפשו באינדקס קבוצות הוואטסאפ של WhatsAd כדי למצוא את הטובות ביותר.
תוצאה אחת באינדקס הקבוצות של WhatsAd
Rhapsodi ya uhakika (RHAPSODY OF REALITIES) ni Kitabu cha kujisomea Neno la Mungu kila siku kilicho andikwa na MCHUNGAJI CHRIS OYAKHILOME. Kitabu hiki kimetafsiriwa katika Lugha zote duniani, ikiwemo lugha 126 za makabila ya Tanzania pamoja na kiswahili. Utafsiri huu unafanywa na Shirika la TRANSLATORS NETWORK INTERNATIONAL (TNI), yani shirika la watafsiri ulimwenguni kote. Unaweza kushirikiana na TNI katika kuipeleka Injili ya yesu ulimwenguni kote kama: 1) Mtafsiri wa Rhapsodi ya Uhakika wa lugha yoyote unayopenda, katika maandishi au Tafsiri za Sauti. 2) Msambazaji wa Nakala za Rhapsodi ya Uhakika 3)Mdhamini/Mfadhili (Sponsor) wa Rhapsodi ya Uhakika katika lugha tofauti - haswa kwa vijiji 4) Msambazaji wa Nakala za Rhapsodi ya Uhakika mtandaoni 5) Mchungaji au Huduma ya neno la mungu inayotumia Rhapsodi ya Uhakika 6) Kushirikisha watumishi wa mungu kutumia Rhapsodi ya Uhakika katika kuvuna nafsi 7) Kushirikisha watu kujiumga na timu hii kama wafadhili/wadhamini au watenda kazi 8) Muandaaji au kusaidia kuandaa mikutano na makongamano... Tutafurahi kupeleka injili hii hadi mwisho wa ulimwengu na Rhapsodi ya Uhakika...ambapo hatuwezi kufika, Rhapsodi inaweza kufikia. Tafadhali usisite kuongea nasi kupitia namba 0766444996 TNI East Africa Centre ONE kwa ufafanuzi zaidi. UMEBARIKIWA TNI Afrika MASHARIKI
קישור הזמנה מאומת, פרטי חברים ואפשרויות פרסום ב-WhatsAd.