BEST FRIEND FOREVER
Karibu kwenye BEST FRIEND FOREVER 💖
Mahali pa marafiki wa ukweli, furaha, ucheshi, ushirikiano na kumbukumbu zisizofutika.
Hapa tunaheshimiana, tunasaidiana na tunacheka pamoja milele zaidi! ✨
BFF Forever! 🫶
📌 Kanuni za Group BEST FRIEND FOREVER
1. Heshimiana Hakuna matusi, kejeli au kudhalilishana.
2. Hakuna mambo ya kugombanisha Epuka drama, chuki au maneno ya kuumiza.
3. Tuwe marafiki wa kweli Saidia, sikiliza na shirikiana.
4. Usitume mambo ya udaku au kusambaza uongo Tumia taarifa sahihi tu.
5. Epuka matangazo yasiyoombwa Usitumie group kutangaza biashara bila ruhusa.
6. Heshimu faragha ya wengine Usisambaze screenshot au meseji za group bila ruhusa.
7. Tumia lugha nzuri Maongezi ya upendo na furaha pekee.
8. Kumbuka lengo la group Kucheka, kuongea, kusaidiana na kuwa BFF milele! 💖
📜 Sheria Fupi kwa Mgeni Anayeingia kwenye Group
1. Tambulisha jina lako mara tu unapoingia
2. Fuata sheria za group bila kujadili.
3. Heshimu wanachama hakuna matusi, ubishani au drama.
4. Hakuna matangazo, links, au spam bila ruhusa ya admin.
5. Usisambaze taarifa za group nje ni marufuku.
6. Ukienda kinyume, admin ana haki kukutoa bila onyo.
📜 Sheria ya Kuongeza Members Kwenye Group BEST FRIEND FOREVER
1. Hauruhusiwi kuongeza member bila ruhusa ya admin.
2. Unaweza ku-add rafiki yako, lakini lazima utoa taarifa kwa admin kwanza na kueleza ni nani na kwa nini unataka kumuongeza.
3. Ni marufuku kuongeza watu wasiowajua wanachama wengi au wasiokuwa na uhusiano wa karibu na malengo ya group.
4. Member yeyote aliyeongezwa bila kufuata utaratibu anaweza kutolewa na admin bila onyo.
5. Mtu aliyeongezwa lazima akubali kufuata sheria zote za group mara tu anapojiunga.