🎊Makazi ya Mahaba💓
🎉 TRUE LOVE CONNECT 💬
Karibu kwenye uwanja wa kicheko, vichekesho na mazungumzo ya kufurahisha kila siku! Hapa tunachapa stori, tunatupia connection mbalimbali, na tunajenga urafiki wa ukweli 💯🙌
🔒 Masharti ya Group:
Huruhusiwi kutuma link ya aina yoyote ile bila ruhusa kutoka kwa admin.
🙅♂️ HATULUHUSU MATANGAZO WALA STATUS NDAN YA GROUP (Kama unataka kuchat, chat status tu lakini sio mfululizo).
❌ Hakuna emoji chafu, lugha ya matusi au meseji zisizofaa.
❌ Hapa sio sehemu ya kutukana, kubeza au kuvunja heshima ya mtu yeyote.
❌ Ukitenda kinyume, unajitoa kwa lazima au kwa bahati mbaya 🚪.
❌ Matumizi ya WhatsApp bot 🙌 hayaruhusiwi.
✅ Hapa Utapata:
📲 Connection za kazi
💬 Marafiki wapya
📢 Taarifa muhimu
😂 Furaha ya kila siku
🤝 Ushirikiano – maana uchoyo haujengi!
🆕 Mgeni ukija tuma picha, umri, mkoa na favorite zako zozote.
Karibu sana, usisahau kusave namba ya admin kwa updates 🔥
#Tupendane #Tucheke #Tushirikiane 💪❤️
RATIBA YA WIKI
Jumatatu – STORY ZA MAISHA (mada mbali mbali)
Jumanne – MTONGOZANO DAY
Jumatano – KIKAANGO BOY 🍳
Alhamisi – PHOTO DAY & VIDEO 📸🎥
Ijumaa – KIKAANGONI GIRL 🍗
Jumamosi – BURUDANI, TALENT SHOW & CHALLENGES 🎤🏆
Jumapili – VOICE AND FREE CHAT (usiku wa mahaba) 💬❤️