Frontline motors
Frontline Tanzania Motors ni waagizaji wa magari aina yote kutoka Japan, Singapore, China, Dubai, UK, Thailand, south africa nk.
Tunaagiza magari kwa malipo Cash na malipo awamu mbili.
Pia tunaagiza kwa mkopo wa mpaka 50% ya thamani ya gari husika.
Walengwa wa mkopo ni wafanyakazi walioajiriwa sekta binafsi na serikalini pamoja na wafanya biashara waliosajiliwa na kupata leseni na wawe wanakopesheka .
Karibu kuchangamkia Fursa hii ya kipekee kutoka kwetu bila kujali upo mkoa gani.
Wasiliana nasi kwa 0676123237
Ama fika katika Office yetu kwa maelezo zaidi kwa wale waliopo Dar es salaam.