Sule English Hub
Welcome all to this group!
Hapa tunajifunza na kufanya mazoezi ya kuongea kiingereza, kwa muhtasari katika group hili utajifunza;
📝 Pronunciation of English words.
📝 Vocabularies such as phrases, phrasal verbs, idioms and many words.
📝 Speaking, listening, reading and writing skills.
📝 Many lessons will be taught such as *parts of speech and understanding the crystal clear uses of tenses*
📍*COURSE HII NI KWAAJILI YA KINA NANI*📍
📝 *BEGINNERS* course hii inawafaa wote ambao hawajui kabisa kiingereza au ndio kwanza wanaanza kuyajua baadhi ya maneno na kujitambulisha kidogo.
📝 *INTERMEDIATE* pia inawafaa wote wanaoweza kujieleza vizuri na kuelezea baadhi ya situations lakini bado hawaja-master explaining complex situations.
*SHERIA ZA GROUP*
📌 *Huruhusiwi kutuma chochote katika group kisichohusu kiingereza*
📌 *Ni ruhusa ku-share clips, short videos zinazohusu kiingereza ISIPOKUWA UWE umepata ruhusa kutoka kwa admin*
*MAMBO YA KUZINGATIA*
📌 *Kifanye kiingereza kuwa ni tabia yako yaani jifunze na practice kila siku non stop labda uwe na dharura*
📌*Lengo la group ni kukufanya wewe ujue kuongea kiingereza kwa hiyo usiogope kuongea na ku-chat kwa kiingereza katika group.*
📌 *KUMBUKA KUWA UNAJUA KIINGEREZA NA UNACHOHITAJI NI SPEAKING CONFIDENCE NA PRACTICE, na hapa upe mahala sahihi kwa ajili ya hayo.*
📌 *Ukihitaji private lessons wasiliana na admin*
*Karibuni sana Sule Language Hub na uanze kuzungumza kiingereza leo, "make learning English to be your habit"*