𝐞𝐅𝐎𝐎𝐓𝐁𝐀𝐋𝐋 𝐂𝐇𝐀𝐌𝐏𝐈𝐎𝐍 𝐒𝐐𝐀𝐃🏆
LINK YA GROUP IYOO WANA FAMILIA YA EFOOTBALL
[link hidden — subscribe to view]?mode=hqrt1
CHAMPION UEFA LEAGUE
.OFFICIAL HD KIM 🏆🏆
.PROSEVENTZ 🏆🏆
. BENIX DE KING 🏆🏆x2
. MPANZU SUAREZ 🏆1
.Itssuleiman👑🏆 x1
*UKIMALIZA KUSOMA SHERIA ZA GROUP LETU NA KUONA UNAWEZA KUZIFATA UTARUDISHWA*
UEFA CHAMPIONS eFootball™ 2026⚽🎮🎖️🏆
*⚠️SHERIA 6 ZA GROUP⚠️*
*SHERIA KUU YA UEFA:* *UEFA GROUP ni zaidi ya familia moja basi ni WAJIBU wa kila mwanagroup KUISHI na mwenzie kwa upendo, mshikamano na furaha kwa sababu wanagroup wote ni sawa yaani kila mwanagroup anahaki sawa (EQUALITY) na wengine hamna aliyejuu ya mwenzie ndani ya group letu la eFootball™ 2026⚽🎮🎖️* *Game ni entertainment/peace of mind/happiness tool hivyo litumike KUTUFANYA KUWA NA MSHIKAMANO NA UPENDO BAINA YETU MAANA KUNA MAISHA BAADA YA GAME PIA.*
*1.Lugha chafu yaani MATUSI (VOICE NOTE ZA MATUSI ❌) / KEJELI dhidi ya MEMBER MWENZIO pamoja na lugha za kidini, kikabila ni KOSA isipokuwa kwa MEMBER WA eFOTBALL ambaye una utani nae au MAZOEA NAE. ( ila huyo huyo akikureport kwa kukusnitch ni UMEVUNJA SHERIA).*
*2.Kwny Group ni MARUFUKU kuingilia / kufichua / kusambaza TAARIFA ZA FARAGHA (PRIVACY) ya mshiriki yoyote, umefungwa tulia accept defeat sio kuanza kuattack mtu personal.*
*3.Kutoa taarifa za UONGO au za kupotosha hazikubaliki, yaani kumzushia mtu taarifa za uongo UKIJUMLISHA utumaji wa matokeo ya uongo kwny LEAGUE pia. Mfano. umefungwa unatuma matokeo ya udanganyifu pamoja na taarifa km vile MSHIRIKI Tapeli, Shoga au Mwizi NI KOSA. (TUMA EVIDENCE KWANZA DM KWA MAADMIN)*
*
*5.Matangazo ya biashara ZOTE tuma kwa USTAARABU ( km ni PICHA 1 AU TEXT 1.. TUMA 1 asubuhi, 1 mchana, 1 usiku) .... LAKN MATANGAZO YAWE SAWA NA JUHUDI ZAKO ZA KUTUMA CODE KUCHEZA NA WENZIO (sio ww ni MATANGAZO TU GAME HUCHEZI). PIA ⚠️BIASHARA YA VIKOSI na links zote pamoja na GROUP &CHANNEL LINKS⚠️ HAZIRUHUSIWI, MPK RUHUSA na KIBALI FROM ADMINS.*
*6.MAUDHUI YA Picha/Video / Sticker za UTUPU hata kama ni mchor