Ищите в каталоге групп WhatsApp от WhatsAd, чтобы найти лучшие.
1 результат в каталоге групп WhatsAd
Проверенная ссылка-приглашение, данные об участниках и опции рекламы на WhatsAd.
⚠️TANGAZO MAALUMU LENYE TAHADHARI NDANI YAKE ⚠️. GRUPU HILI LINAHUSIKA NA HUDUMA YA 1. VIFURUSHI VYA BEI NAFUU KWA MITANDAO YOTE TANZANIA. 2. HUDUMA ZA LAPTOP KWA BEI NAFUU KABISA. 3. HUDUMA ZA SIMU KWA BEI NAFUU KABISA. 4. NA HUDUMA NYINGINE KWAAJILI YA MSAADA KWAKO MDAU WANGU ILI KUFANYA MAMBO YAWE RAHISI. ⚠️❌TAFADHALI USIPOST KITU NJE NA HIVYO AU USIPOST BIASHARA YAKO YA AINA YOYOTE HAPA.❌⚠️ `PIA HAKIKISHA UNAPATA HUDUMA KUTOKA KWA ADMIN NA NAMBA ZA ADMIN AU MMILIKI WA GROUP NI TATU TU` [contact hidden]. NB: HUU NI UJUMBE WA ANGALIZO TU ILA SIO KATAZO, HIVYO UKIONA UMERIDHIKA NA HUDUMA KUTOKA KWA MTU MWINGINE NI SAWA ILA YATAKAYOKUKUTA SI DHAMANA YANGU. KARIBU SANA KWA HUDUMA BORA NA ZENYE UHAKIKA HAPA MR NO TIME DATA
MABADILIKO YA MFUMO (UTARATIBU) WA KUPOKEA MAFUNDISHO YA Mwl. Francis Langula (WhatsApp: [contact hidden]) Napenda kutumia nafasi hii kukujulisha namna mpya ya kupata mafundisho ambayo haitaleta madhara kama ambayo yalitokea ya kufungiwa namba ya WhatsApp. Zifuatazo ndio njia sahihi zitakazotumika KUPOKEA MAFUNDISHO:- 1. KUANZIA SASA MAFUNDISHO (AUDIO – VOICE NOTE) YATATUMWA KWENYE MAGROUP TU 2. TAARIFA YA SOMO JIPYA AU LINALOENDELEA NDIO ITATUMWA KWENYE INBOX YA MTU NA KWENYE WhatsApp Channel 3. GROUP HUSIKA LITAKUWA LIMEFUNGWA SIKU ZOTE, NA LITAKUWA NI KWA AJILI YA KUPOKELEA MAFUNDISHO TU (HALITARUHUSU MWINGINE KUTUMA CHOCHOTE) 4. KWA HIYO, ILI KUENDELEA KUPOKEA MAFUNDISHO UNASHAURIWA KUWA KWENYE GROUP MOJAWAPO KATI YA MAGROUP MATANO YALIYOPO SASA (Jiunge) G1 New Creation in Christ (NCC) Teachings✝️01 [link hidden — subscribe to view] G2 New Creation in Christ (NCC) Teachings✝️02 [link hidden — subscribe to view] G3 New Creation in Christ (NCC) Teachings✝️03 [link hidden — subscribe to view] G4 New Creation in Christ (NCC) Teachings✝️04 [link hidden — subscribe to view] G5 New Creation in Christ (NCC) Teachings✝️05 [link hidden — subscribe to view] KWA NINI KUJIUNGA MA-GROUP MAPYA: Kila mmoja analazimika kujiunga kwenye group jipya hata kama alikuwa kwenye group la zamani, hii ni kutokana na mabadiliko ambayo yanatakiwa kufanyika kwa kutumia namba yangu mpya ya WhatsApp; ni kweli namba mpya ([contact hidden]) inaweza kutuma mafundisho kwa baadhi ya magroup ya zamani lakini imepewa tu kuwa ADMIN na sio MMILIKI (Admin but not owner); NAMBA ILIYOFUNGIWA NDIO MMILIKI (OWNER) WA MAGROUP HAYO. Kwa hiyo, ikitokea magroup hayo yakadukuliwa (hacked), aliyeya HACK anaweza akachukua umiliki wote na kufanya chochote bila kuwa na kizuizi kwa sababu NAMBA ILIYOKUWA INAYAMILIKI IMEFUNGIWA hivyo ni muhimu kuwa na MAGROUP AMBAYO NITAKUWA NA UMILIKI NAYO ILI KUEPUSHA USUMBUFU MKUBWA ZAIDI HAPO MBELENI. Umebarikiwa