Ищите в каталоге групп WhatsApp от WhatsAd, чтобы найти лучшие.
1 результат в каталоге групп WhatsAd
Проверенная ссылка-приглашение, данные об участниках и опции рекламы на WhatsAd.
Karibu Sana kwenye hili group LA AJIRA portal Hili ni group maalum kwa ajili ya kutoa taarifa sahihi na za uhakika kuhusu ajira pamoja na usaidizi wa masuala yote yanayohusu ajira Hapa Utapata: Nafasi mpya za ajira serikalini na sekta binafsi Miongozo ya kuandika CV na barua za maombi Taarifa za usaili, shortlist na deadlines Elimu kuhusu namna bora ya kutuma maombi Karibu tuwe sehemu ya mafanikio yako!
Karibu group la kazi ,ajira,vibarua, day worker, ,post 5+ kila siku , Kwa mungu yote yanawezekana🙏🙏wageni wote mnakaribishwa tuko mahali salama Kazi zilizopo ni👇 Sheli Maduka ya jumla Kuuza nguo madukani Maduka ya simu& laptops Maduka ya fridges,tv, soundbars nk. Houseboys House girls Waalimu Manurse Vibarua Na kazi na part time Kwa wanachuo zinapatikana pia Kwa maoni, kazi special na matangazo yako njoo inbox