Ищите в каталоге групп WhatsApp от WhatsAd, чтобы найти лучшие.
1 результат в каталоге групп WhatsAd
Проверенная ссылка-приглашение, данные об участниках и опции рекламы на WhatsAd.
[link hidden — subscribe to view]?mode=ac_t
Karibu mpendwa katika group pendwa la what'sap la NURU MAISHANI MINISTRIES FAMILY. Group ambalo limekusudia KUTOA msaada wa kiroho katika kumjua MUNGU anaye badilisha maisha kwa njia ya Imani katika YESU Kristo. Na hivyo kuyaishi makusudi ya MUNGU. Hapa ni kituo cha injili ibadilishayo maisha kwa watu wote. Na tunapokuwa pamoja na MUNGU tunapata mwanga wa njia zetu. MAMBO YA KUZINGATIA 1. Hauruhusiwi kutuma link au matangazo yoyote yasiyohusu, au yasiyoendana na dhamira ya huduma ya NURU MAISHANI. 2. Kila mmoja azingatie dhima ya group letu. VIPINDI 1. HUDUMA YA MAOMBI Kila siku za Jumapili na Jumatano Asubuhi SAA 11:00 hadi SAA 12:00 na jioni SAA 08:40 hadi SAA 09:40, tutakuwa na Tafakari ya neno la Mungu na maombi kwa pamoja. 2. Katika siku zingine tutakuwa na MADA mbali mbali za MAHUSIANO, AFYA ( Hasa afya ya Akili), UJASILIAMALI, NA UNABII. 📌📌📌📌📌📌📌📌📌 Welcome, beloved, to the cherished WhatsApp group of NURU MAISHANI MINISTRIES FAMILY. This group is dedicated to providing spiritual support in knowing the God who transforms lives through faith in Jesus Christ, enabling us to live out God's purpose. Here, we are a center for the life-changing gospel for all people. As we journey with God, we find light for our paths. GROUP GUIDELINES 1. You are not allowed to share links or advertisements that are irrelevant or do not align with the mission of NURU MAISHANI MINISTRIES. 2. Everyone should adhere to the purpose of this group. SCHEDULE 1. PRAYER SESSIONS Every Sunday and Wednesday Morning: 5:00 AM to 6:00 AM Evening: 8:40 PM to 9:40 PM These sessions will include reflections on the Word of God and prayers together. 2. OTHER SESSIONS On other days, we will have discussions on various topics such as: *Relationships* 1. Health (with a focus on mental health) 2. Entrepreneurship 3. Prophecy *FOLLOW* 𝓴𝓪𝓻𝓲𝓫𝓾 ᴡᴀᴄʜᴀ ᴍᴡᴀɴɢᴀ ᴜᴀɴɢᴀᴢᴇ ᴄʜᴀɴɴᴇʟ Via WHATSAPP CHANNEL [link hidden — subscribe to view] 🇬 🇴 🇩 💠 🇧 🇱 🇪 🇸 🇸 🇾 🇴 🇺 Usisahau kusubscribe chan