Ищите в каталоге групп WhatsApp от WhatsAd, чтобы найти лучшие.
1 результат в каталоге групп WhatsAd
*_🔥 KARIBU KWENYE GROUP LA RAMAN & UJENZI tz..!!! 🔥_* *Hapa tunakuletea wataalam wa fan mbalimbal za ujenz kwa huduma bora na za kitaalam, zenye lengo la kuhakikisha mirad yako inakamilika kwa ubora unaotakiwa. Huduma zetu ni pamoja na:* 1️⃣ Ubunifu wa Raman za Kisasa *✔️ Raman ni mwongozo wa ujenzi mzima – bila raman nzur, ujenzi hauwez kufuata vipimo sahih.* *✔️ Inasaidia kuepuka makosa ya kiufund ambayo yanaweza kuongeza gharama za ujenz.* *✔️ Raman nzur inahakikisha unatumia nafas kwa ufanis, ikizingatia upepo, mwangaza, na uimara wa jengo.* 2️⃣ Ushaur wa Kitaalam juu ya Ujenz *✔️ Unapopata ushaur wa kitaalam, unajua gharama sahih za mrad wako na unakwepa matumiz yasiyo ya lazima.* *✔️ Inakusaidia kujenga kwa kufuata viwango vya kitaifa na kimataifa vya ujenz ili kuepuka matatizo ya baadaye.* 3️⃣ Makadirio ya Gharama za Ujenz *✔️ Kujua bajeti ya ujenz kabla ya kuanza kunakusaidia kupanga fedha zako vizur.* *✔️ Kuepusha mshtuko wa gharama kubwa zisizotarajiwa wakat ujenz unaendelea.* *✔️ Kupata makadirio sahih ya vifaa na gharama za mafund ili kuepuka upotevu wa fedha.* 4️⃣ Huduma za Finishing, Waterproofing & Decoration *✔️ Finishing nzur inafanya jengo lako lionekane la kisasa na lenye thaman kubwa.* *✔️ Waterproofing inazuia kuvuja kwa maj, hivyo kulinda jengo lako dhid ya uharibifu wa mapema.* *✔️ Decoration huongeza mvuto wa jengo, iwe ni nyumba, hotel, au ofis, na kuongeza thaman yake sokon.* 5️⃣ Ufundi wa Mabat na Kaz za Roofing.. *✔️ Paa ni ulinz wa kwanza wa jengo lako dhidi ya mvua, jua kali, na upepo mkal.* *✔️ Kuweka paa kwa usahih kunahakikisha uimara wa muda mrefu na kupunguza gharama za matengenezo ya mara kwa mara.* 6️⃣ Renovation & Extensions (Ukarabat na Upanuz wa Majengo) *✔️ Renovation (ukarabat) huongeza uimara wa jengo lililochakaa, likirudishwa katika hal bora kwa matumiz.* *✔️ Extensions (upanuz) husaidia kuongeza nafas kwenye jengo lako bila kuhitaj kujenga upya.* *✔️ Ukarabat husaidia kuongeza thaman ya mal yako, hasa kwa nyumba za biashara au makaz ya muda mrefu.*
Проверенная ссылка-приглашение, данные об участниках и опции рекламы на WhatsAd.
Jina la Kundi: Wazalendo Halisi Sheria za Kundi 1. Heshima Kwanza – Hakuna matusi wala kejeli kwa mwanakundi yeyote. 2. Lugha ya Staha – Tumie Kiswahili fasaha na maneno ya kujenga. 3. Ujumbe Uwe wa Msingi – Epuka kusambaza habari zisizothibitishwa au zisizo na uhusiano na malengo ya kundi. 4. Maoni Yote Yanathaminiwa – Tofauti za mawazo ni ruksa, mradi tu yasielekee kwenye matusi au ugomvi. 5. Epuka Siasa Kali – Tujikite katika mazungumzo yenye tija na siyo yenye kuibua migawanyiko. 6. Usambazaji wa Taarifa Muhimu – Tuwe tunatumia kundi hili kupeana taarifa muhimu na maoni ya kujenga kuhusu kundi letu na shughuli zake. 7. Kusambaza Ratiba na Mipango – Kundi hili litakuwa sehemu rasmi ya kupanga, kushirikiana, na kujulishana kuhusu shughuli zetu. 8. Wasiliana kwa Hekima – Kila mmoja ana haki ya kuzungumza, tusikilizane.
⚠️TANGAZO MAALUMU LENYE TAHADHARI NDANI YAKE ⚠️. GRUPU HILI LINAHUSIKA NA HUDUMA YA 1. VIFURUSHI VYA BEI NAFUU KWA MITANDAO YOTE TANZANIA. 2. HUDUMA ZA LAPTOP KWA BEI NAFUU KABISA. 3. HUDUMA ZA SIMU KWA BEI NAFUU KABISA. 4. NA HUDUMA NYINGINE KWAAJILI YA MSAADA KWAKO MDAU WANGU ILI KUFANYA MAMBO YAWE RAHISI. ⚠️❌TAFADHALI USIPOST KITU NJE NA HIVYO AU USIPOST BIASHARA YAKO YA AINA YOYOTE HAPA.❌⚠️ `PIA HAKIKISHA UNAPATA HUDUMA KUTOKA KWA ADMIN NA NAMBA ZA ADMIN AU MMILIKI WA GROUP NI TATU TU` [contact hidden]. NB: HUU NI UJUMBE WA ANGALIZO TU ILA SIO KATAZO, HIVYO UKIONA UMERIDHIKA NA HUDUMA KUTOKA KWA MTU MWINGINE NI SAWA ILA YATAKAYOKUKUTA SI DHAMANA YANGU. KARIBU SANA KWA HUDUMA BORA NA ZENYE UHAKIKA HAPA MR NO TIME DATA