Kijiwe CHA Kahawa
*TUNAOMBA RADHI KWA KUFUNGA GROUP, KUTO RUHUSU WATU KUTOA MAONI YAO, HII NI KUTOKANA NA SABABU ZIFUATAZO* 👇🏾👇🏾
1️⃣ Sio kila Aliyemo ndani ya Group yuko kwajili ya kujifunza, wengine wako kwajili ya mambo yao wenyewe
2️⃣ Tumefunga hili kuweka usikivu katika Group, Ili kupokea Elimu kutoka kwa Uongozi Pekee, na Kuzuia SMS zisizokuwa na Maana katika Group
3️⃣ Kuepusha Lugha Chafu kwa watu wasiojitambua, Kutuma Picha zisizokuwa na Maadili ya Kitanzania, Video za Ngono, nk.
4️⃣ Kutuma Links za Magroup mengine kwani ni Uchafuzi wa Elimu Ya Biashara Inayotolewa na Uongozi wetu.
*MWISHO*
Kupitia Sababu hizo Apo juu 👆🏾👆🏾
Endapo utakuwa na Swali lolote kuhusu Mafunzo Yetu Ya Biashara yaliyotolewa, Basi Utawaona Viongozi wetu *inbox* ambao wanatoa mafunzo ndani ya Group.
*Asante kwa kutuelewa*
*TUNAKUTAKIA USIKIVU MWEMA*🤝