𝗨𝗡𝗜𝗩𝗘𝗥𝗦𝗜𝗧𝗬 𝗚𝗘𝗡𝗘𝗥𝗔𝗟 𝗟𝗜𝗙𝗘🔰💪
Malengo ya Group
Karibu kwenye group letu pendwa limeanzishwa kwa ajili ya kusaidia wanafunzi, wahitimu, na wote wanaotafuta fursa za elimu na maendeleo ya kitaaluma kwa kupata taarifa sahihi na mwongozo kuhusu:
✅ *Maombi ya Mikopo* – Mwongozo wa kutuma maombi ya mikopo ya elimu ya juu (HESLB) kwa usahihi na kwa wakati.
✅ *Maombi ya Vyuo –* Kupata taarifa kuhusu vyuo vikuu, vyuo vya kati, na vyuo vya ufundi ndani na nje ya nchi.
✅ *Maombi ya Online –* nida number ,cheti Cha kifo,cheti Cha kuzaliwa ,copy ya cheti Cha nida ,raiseni ya biashara
✅ *Ushauri wa Kitaaluma* – Mwongozo wa kuchagua kozi sahihi kulingana na vipaji, soko la ajira, na malengo ya baadaye.
✅ *Fursa za Scholarship –* Kupata taarifa za udhamini wa masomo ndani na nje ya nchi pamoja na jinsi ya kuomba.
✅ *Field & Internship* *Opportunities* – Nafasi za mafunzo kwa vitendo (Field/Internship) katika taasisi na makampuni mbalimbali.
✅ *Ajira kwa Wahitimu –* Taarifa kuhusu nafasi za kazi kwa wahitimu wa vyuo mbalimbali.
✅ *Kozi Fupi & Mafunzo ya* *Ziada* – Taarifa za mafunzo ya muda mfupi yanayoweza kuongeza ujuzi na kukuza wasifu wako kitaaluma.
✅ *Kushirikiana* na *Kufanikishana –* Kusaidiana kwa kubadilishana taarifa muhimu na uzoefu ili kila mmoja aweze kufanikisha malengo yake ya elimu na taaluma.