BUSINESS PLATFORM & CONNECTION 🇹🇿
(Powerd by Twinstar Tanzania)
💼 KARIBU TWINSTAR BUSINESS HUB
Jukwaa rasmi la kuunganisha wauzaji, wanunuzi, madalali, wateja na wadau kutoka Mwanza na maeneo mbalimbali Tanzania.
Lengo letu ni kufungua fursa, kurahisisha biashara, kuunganisha watu na kuifanya Twinstar iwe msaada na furaha kwa Vijana na Jamii 🇹🇿.
🛒 HUDUMA ZA GROUP
• Nunua & uza bidhaa kwa urahisi
• Tangaza biashara, ajira & fursa
• Pata wateja, madalali & connection
• Tours, events, charity & branding
• Kuza brand yako kupitia matangazo na events za Twinstar
🎯 DHIMA YA GROUP
• Kukuza biashara & ajira
• Kujenga networking na ushirikiano
• Kuunganisha wauzaji kwa wanunuzi moja kwa moja
•Nunua na Tangaza - Biashara, kazi, fursa N..k muda wowote hakuna mipaka
📜 SHERIA ZA GROUP
🚫 Hakuna link yoyote
🚫 Usi-mention group zaidi ya mara mbili
🚫 Epuka matangazo/Huduma zinazofanana na Twinstar
🚫 Usitumie picha zisizo na maadili
📵 Wauzaji wa nguo/bidhaa nyingi tuma sample chache ili kuwapa nafasi na wengine kujitangaza
⚠️ Fanya biashara halali, kwa uwazi & uaminifu
📲 Huduma za Mabando, Lipa na uwakala haziruhusiwi - Kesi zimekuwa nyingi humu.
🤝 Heshimu wateja na wauzaji wengine
🙏🏻 Onyesha ushirikiano ili kuwa mwanafamilia
🌐 FAIDA ZA KUJIUNGA
• Kupata wateja wapya kila siku
• Kupata huduma/bidhaa kwa urahisi
• Fursa za ajira na biashara
• Kushiriki Events, Tours & parties za Twinstar
• Connection za mikoa mbalimbali
📲 Powered by: Twinstar Tanzania
IG: @twinstarfashioncompanylimited
☎️ Save namba hii sasa: [contact hidden] (Kwa Updates, Msaada kwa wateja, wauzaji na changamoto)