JESUS EMPIRE
🗣️🗣️ Wathesalonike 3:11
[11]Maana twasikia kwamba wako watu kwenu waendao bila utaratibu, hawana shughuli zao wenyewe, lakini wanajishughulisha na mambo ya wengine.👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👇👇👇👇👇👇👇👇👇KARIBU SANA KATIKA GROUP LA JESUS EMPIRE NI GROUP LENYE NIA NZURI NA WEWE HAPA UTAPATA MSAADA WA MAMBO YA KILOHO NA KIMWILI PIA ENDAPO UTAKUBALIANA NA HIZI SHERIA HAPA CHINI ZINGATIA GUYS
✝️ Group kama group limekuamini kwa asilimia 💯 kuwa wewe ni mtumishi kitendo cha wewe kujoin kwenye hili group ni utumishi tunaamini ivo💫
✝️Group limekupa ruhusa ya Kuleta hoja, ushauli, maoni, nk kwa sababu group limekuamini na kukuweka kuwa sehemu ya utumishi💫
✝️Group linasikiliza hoja zote zinazoletwa kwahyo kuwa na Amani ukiwa hapa✔️
🙅GROUP HALILUHUSU DHAMBI YEYOTE ILE YAAANI HAPA haturuhusu, matusi, ugomvi, sticker zisizo na maadili, uonevu, kujichukulia sheria mkononi, Kwenda inbox kwa mtu bila ridhaa yake ni dhambi, emoji zisizo na maadili haziruhusiwi, Wala GFT Zisizo na maadili
ONYO IKITOKE UMEFANYA KOSA LOLOTE KATI YA HAYO GROUP HALITAKUWA RADHI KUKUACHA UENDELEE KUWEPO✔️
✝️Mhusika yeyote katika hili group Ana wajibu wa Kuleta new members katika hili group. Ila kabla hajaja uwe ushajua Tabia zake za nje akiwa inbox 📥 kwako ni kwa ajili ya Usalama wa group ✔️
✝️HULUHUSIWI KU ADD NEW GROUP NI KOSA KAMA UKIFANYA IVO TUTAKUREMOVE MAPEMA✔️
✝️GROUP lina umoja na mshikamano✔️
✝️ GROUP lipo wazi muda wote kwa ajili ya mapokez mbalimbali ya new members na hoja zingine au salamu ✔️
✝️ GROUP linatoa nafasi za kupeana connection za kazi
Kupeana taarifa mbalimbali
Kusapotiana kwenye huduma
Mialiko ya kihuduma kulingana na vipawa na kalama ndani ya group
PIA ni luksa Kutembeleana kwa sababu sisi sote ni Familia ya MUNGU
👆👆👆👆👆👆👆👆
UKIZINGATIA HAYO UTAISHI VIZULI NIKUTAKIAE UTEKELEZAJI MWEMA BY JESUS EMPIRE{yaaani tuna maanisha kuwa NGOME YA YESU}