MJENZI WA NYUMBA TZ
*Karibu sana wadau wote!*
Grupu hili limeanzishwa kwa ajili ya *kupeana uzoefu kuhusu ujenzi wa nyumba* zako na za wateja wako. Hapa utapata:
- Mafundi waaminifu wa kazi zote,
- Bidhaa bora za ujenzi,
- Ushauri na majibu ya maswali yote yahusuyo ujenzi.
*Unaruhusiwa:*
- Kushauriana na kushirikiana mawazo yanayohusu ujenzi wa nyumba,
- Kujadili mada zinazohusu ujenzi,
- Kutangaza biashara yoyote inayohusiana na sekta ya nyumba (jumatano na jumapili pekee).
*Hairuhusiwi:*
- Lugha za matusi au kejeli,
- Picha au maudhui yasiyo na maadili,
- Mijadala isiyohusiana na ujenzi.
*Ukikiuka masharti haya, utaondolewa kwenye group bila taarifa na hautarejeshwa tena.*
Karibu tujenge pamoja!
Nyumva bora hujengwa na fundi bora.