🏆EFOOTBALL 🥅 WARRI○RS🎖️
📜 SHERIA ZA LIGI YA eFOOTBALL WARRIORS⚽
---
1. SHERIA YA PICHA ZA SCREEN 📸
Picha zote zinazotumika lazima ziwe zinahusiana na ligi yetu.
Picha za mechi za kirafiki au binafsi haziruhusiwi.
Adhabu: Mchezaji atatolewa kwenye group na atakatwa pointi 6 kwa kutumia picha zisizohusiana na ligi. 🚫📸
---
2. SHERIA YA KUTAG GROUP KWENYE STATUS 🏷️
Suala la kutag group kwenye status zako si jambo linalopendwa na wengi.
Wachezaji wanashauriwa kuepuka kutag group kwenye status zao.
Adhabu: Hakuna adhabu rasmi, lakini tafadhali zingatia hili kuepuka mivutano. 🧘♂️
---
3. SHERIA YA STICKERS ZA MAADILI MABOVU 🔞
Stickers zinazozungumzia maadili mabovu au zinazoweza kusababisha mivutano haziruhusiwi.
Adhabu: Mchezaji atapewa onyo kali na atatolewa kwenye group kama ataendelea. 🚫
---
4. SHERIA YA DAKIKA 75 (Connection Issues) ⏳
Endapo kutatokea tatizo la mtandao kuanzia dakika ya 75,
mchezaji mwenye magoli mengi hadi wakati huo atapewa ushindi.
Adhabu: Hakuna. Hii ni sheria ya kiufundi kusaidia fair play. 💻⚠️
---
5. SHERIA YA KUTOACHA MECHI 🏃♂️
Kutoacha mechi ni lazima. Kama mchezaji atakataa kucheza mechi:
Adhabu: Atakatwa pointi 6 na kupewa onyo kali. 🚷🔴
---
6. SHERIA YA KUTANGAZA MATOKEO YA MECHI 🏁
Matokeo lazima yatangazwe ndani ya masaa 24 baada ya mechi.
Adhabu: Ukichelewa, mechi itahesabiwa droo (0-0). 🔄⚖️
---
7. SHERIA YA SPORTSMANSHIP 🤝
Matusi, kejeli na maudhi hayaruhusiwi kwenye group.
Adhabu: Mchezaji atatolewa group. 😇🚫
---
8. SHERIA YA KUTO CHEZA MECHI ZAIDI YA SIKU MBILI MFULULIZO 🗓️
Unatakiwa kucheza angalau mechi moja kila siku mbili.
Adhabu: Ukikosa bila taarifa, unatolewa kwenye ligi. 📅❌
---
9. SHERIA YA MAWASILIANO (COMMUNICATION) 📱
Wasiliana vizuri na wapinzani wako. Epuka ubishi au kuzuia mechi kufanyika.
Adhabu: Hakuna rasmi, lakini ukikiuka unaweza kupoteza pointi au kupewa onyo. 🗣️🤔
---
10. SHERIA YA KUBADILISHA JINA LA TIMU AU MCHEZAJI 📝
Mchezaji anapaswa kutumia jina alilojisajilia mwanzoni mwa ligi bila mabadiliko yoyote bila ruhusa.
🔁 Kubadilisha jina bila kutoa t