ุงุจุญุซ ูู ููุฑุณ WhatsAd ูู ุฌู ูุนุงุช ูุงุชุณุงุจ ููุนุซูุฑ ุนูู ุงูุฃูุถู.
ูุชูุฌุฉ ูุงุญุฏุฉ ูู ููุฑุณ ู ุฌู ูุนุงุช WhatsAd
*_๐ฅ KARIBU KWENYE GROUP LA RAMAN & UJENZI tz..!!! ๐ฅ_* *Hapa tunakuletea wataalam wa fan mbalimbal za ujenz kwa huduma bora na za kitaalam, zenye lengo la kuhakikisha mirad yako inakamilika kwa ubora unaotakiwa. Huduma zetu ni pamoja na:* 1๏ธโฃ Ubunifu wa Raman za Kisasa *โ๏ธ Raman ni mwongozo wa ujenzi mzima โ bila raman nzur, ujenzi hauwez kufuata vipimo sahih.* *โ๏ธ Inasaidia kuepuka makosa ya kiufund ambayo yanaweza kuongeza gharama za ujenz.* *โ๏ธ Raman nzur inahakikisha unatumia nafas kwa ufanis, ikizingatia upepo, mwangaza, na uimara wa jengo.* 2๏ธโฃ Ushaur wa Kitaalam juu ya Ujenz *โ๏ธ Unapopata ushaur wa kitaalam, unajua gharama sahih za mrad wako na unakwepa matumiz yasiyo ya lazima.* *โ๏ธ Inakusaidia kujenga kwa kufuata viwango vya kitaifa na kimataifa vya ujenz ili kuepuka matatizo ya baadaye.* 3๏ธโฃ Makadirio ya Gharama za Ujenz *โ๏ธ Kujua bajeti ya ujenz kabla ya kuanza kunakusaidia kupanga fedha zako vizur.* *โ๏ธ Kuepusha mshtuko wa gharama kubwa zisizotarajiwa wakat ujenz unaendelea.* *โ๏ธ Kupata makadirio sahih ya vifaa na gharama za mafund ili kuepuka upotevu wa fedha.* 4๏ธโฃ Huduma za Finishing, Waterproofing & Decoration *โ๏ธ Finishing nzur inafanya jengo lako lionekane la kisasa na lenye thaman kubwa.* *โ๏ธ Waterproofing inazuia kuvuja kwa maj, hivyo kulinda jengo lako dhid ya uharibifu wa mapema.* *โ๏ธ Decoration huongeza mvuto wa jengo, iwe ni nyumba, hotel, au ofis, na kuongeza thaman yake sokon.* 5๏ธโฃ Ufundi wa Mabat na Kaz za Roofing.. *โ๏ธ Paa ni ulinz wa kwanza wa jengo lako dhidi ya mvua, jua kali, na upepo mkal.* *โ๏ธ Kuweka paa kwa usahih kunahakikisha uimara wa muda mrefu na kupunguza gharama za matengenezo ya mara kwa mara.* 6๏ธโฃ Renovation & Extensions (Ukarabat na Upanuz wa Majengo) *โ๏ธ Renovation (ukarabat) huongeza uimara wa jengo lililochakaa, likirudishwa katika hal bora kwa matumiz.* *โ๏ธ Extensions (upanuz) husaidia kuongeza nafas kwenye jengo lako bila kuhitaj kujenga upya.* *โ๏ธ Ukarabat husaidia kuongeza thaman ya mal yako, hasa kwa nyumba za biashara au makaz ya muda mrefu.*
ุฑุงุจุท ุฏุนูุฉ ู ูุซูู ูุชูุงุตูู ุงูุฃุนุถุงุก ูุฎูุงุฑุงุช ุงูุฅุนูุงู ุนูู WhatsAd.