* HARUSI YA EMMANUEL SAMWEL LUPIGA*
Tunamshukuru Mungu wa mbinguni kutuamsha salama na kuendelea kupambana na majukumu yetu ya kila siku.Napenda kukukaribisheni nyote katika katika kundi sogozi,lengo kuu ni kuweza kufanikisha shughuli ya kijana wetu EMMANUEL SAMWELI ANAYETARAJIA KUFUNGA.Nikuombeni nyote kuheshimu na kuzingatia lengo kuu hasa la kundi sogozi hili,sms za matusi,mizaha,picha za utupu kwa aina zake,haziruhusiwi,Tunaruhusiwa kuanzia sasa kutoa mchango wako,kutoa ahadi kadri utavoguswa,Niwatakie utekelezaji mwema na MUNGU ATUBARIKI SOTE AMINA🙏🙏