🏆KONAMI🥉LEAGUE'S⚽️💰26
CHAMPIONS✨️ KLAUS MIKAELSON ×2🏆PREMIER LEAGUE!!
BLACK LIONS ×1🏆KCL
YELLOW ARMY×1🏆KCL
SHERIA ZA GROUP
1️⃣ Lugha chafu
Hakuna matusi, sauti za kumtukana mtu, au kejeli za kumdhalilisha mwanachama mwenzako.
Utani unaruhusiwa kama mnaelewana, lakini ukimkosea mtu – umevunja sheria.
2️⃣ Faragha
Haifai kuweka au kuficha taarifa za faragha bila ridhaa.
Usitumie data za mtu, namba, au taarifa binafsi kumdhalilisha au kumdhuru.
3️⃣ Uongo / Taarifa zisizo sahihi
Kutangaza uongo kuhusu mtu bila uthibitisho hakufai.
Toa ushahidi kwanza kabla ya kuyapeleka malalamiko kwa admin.
5️⃣ Matangazo
Tangaza kwa ustaarabu.
Matangazo ya biashara yapishane na shughuli za mchezo.
Hakuna kutuma links za vikosi au group/channel bila ruhusa ya admin.
6️⃣ Maudhui machafu
Marufuku kutuma picha, video, au stika za utupu — hata kama ni vikaragosi (mchoro).