LUKRESIA MSELABUYE GOSPEL MUSIC 🥁🪘🎹
Lukresia Gospel Music, ni group maalum Kwa kusambaza ujumbe unaopatikana kwenye nyimbo za Injili ( Gospel songs). Za Lukresia Mselabuye.
https://youtu.be/rOSclyAKJb4?si=UqfzQHsBw8jar3Ln
LENGO; ni kusambaza ujumbe wa nyimbo hizi, Ili kuokoa roho za watu, kuponya majeraha ya mioyo ya watu iliyoumizwa, kutangaza ushuhuda wa Injili ya Yesu Kristo Duniani kote, Ili jina la Yesu lihimidiwe na kutukuzwa daima.
Sheria za group,
1. a) Hairuhusiwi kutuma matangazo ya biashara, event( matukio), video, picha, link, nyimbo, stickers, emojis ambazo ziko nje na lengo la group , au hazina maadili ya kikristo!. b) Hairuhusiwi kumention group kwa status zisizohusiana na uimbaji
2. Pale wimbo mpya unapotoka hairuhusiwi kupost link or video tofauti na za nyimbo za lengo la group.( Nyimbo za Lukresia Mselabuye). Untill further notice (Mpaka itangazwe Tena ).
3. Lugha za matusi, kejeli, udhalilishaji, chuki, na kila aina ya ukiukwaji wa maadili na Sheria za ukristo haziruhusiwi
4. Waimbaji wengine wanaruhusiwa kutuma link zao lakini Kwa utaratibu huu kwamba, pale mtu anapo post link yake, basi kabla mwingine hajatuma inabidi asubiri baada ya masaa mawili kuendelea, ndipo atume link yake. Kinyume na hapo link au wimbo huo utafutwa.
5. Kuvunjwa Kwa Sheria mojawapo ya group hili kutaambatana na pernat zifuatazo,
a) kufutwa Kwa link wimbo or tangazo lililopostiwa kinyume na Sheria
b) kuondolewa kuwa member wa group hili.
Wapendwa tuongozwe na Roho mtakatifu katika KAZI hii, maadam ROHO MTAKATIFU NI ROHO WA UTARATIBU.