KNOWLEDGE🌍
KNOWLEDGE🌍 ni group maalumu ambalo limeundwa ili kuelimishana mambo mbali mbali kuhusu maisha Kutoa elimu mbali mbali kam vile maswala ya maisha,mahusiano afya,elimu ,pia kufundishana maarifa mbali mbali,pia kukutanisha watu tofauti tofauti,kupata marafiki wapya,kushare Idea mbali mbali na kubadilishana mawazo🙏
SHERIA ZA GROUP
1:hairuhusiwi kutuma link/matangazo bila ruhusa ya admin
2:hairuhusiwi kutuma picha za ngono au video zake na sticker za ajabu
3: lugha za matusi na ugomvi haviruhusiwi
4:hairuhusiwi kumfata mtu Inbox bila ruhusa yake
5: kila mtu ana haki ya kushiriki mada yoyote iliyopo
RATIBA
J,tatu
- mada kuhus elimu na mbali mbali maarifa na ujuzi kuhusu maisha
J,nne
Mada kuhus afya na magonjwa mbalimbali na hap utaruhusiwa kuuliza swali lolote kuhusu afya
J,tano
Mada kuhus maisha na changamoto zake,utaruhusiwa kutoa maon, kuuliza swali kuhus maisha na mifumo yote
Alhamis
Mada kuhusu mahusiano,ndoa na familia, hapa utauliza swali lolote kuhus mahusiano,
Ijumaa
Mada ni kushare mawazo mbali mbali kuhusu dini yoyote na maswala ya kimungu\historia mbali mbaliza kale
J,mos
Wageni na wenyeji watajitambulisha kwa picha na majina na mahali wanapotokea,atateuliwa mtu mmoja kwajili ya kutupa somo kuhusu maisha n.k na utaruhusiwa kumuuliza swali lolote n.k
Jpil
Free chating
Imeandaliwa na admin mickey 🌴,kam kuna mtu anakuonyesha utofauti wa maadili utamrepot kwa admin
ASANTEN🙏