Search the WhatsAd index of WhatsApp groups to find the best ones.
1 result in the WhatsAd group index
Verified invite link, member details and advertising options on WhatsAd.
V
*SALA YA KUMWOMBA* *MT. YOSEFU MSAADA (SALA KUU KWA* *MTAKATIFU YOSEFU)* Ee Mt. Yosefu mwenye heri, tunakimbilia kwako katika masumbuko yetu, na kisha omba shime ya Mchumba wako Mtakatifu, tunaomba pia kwa matumaini usimamizi wako. Kwa ajili ya mapendo uliyompenda Bikira Mtakatifu Mzazi wa Mungu, na kwa ajili ya kumtunza Mtoto Yesu, twakuomba sana, utuangalie kwa wema sie tuliokuwa fungu lake Yesu Kristu, tukakombolewa kwa damu yake. Tusimamie katika masumbuko yetu kwa enzi na shime yako. Ee Mlinzi amini wa jamaa takatifu, uwakinge watoto wateule wa Yesu Kristu. Ee Baba uliyetupenda mno tuepushe na kilema chochote cha madanganyo na upotevu. Ee kinga yetu mwezaji, utusimamie huko juu mbinguni ulipo, tunaposhindana na wenye nguvu wakaao gizani. Kama vile siku za kale ukamwopoa Mtoto Yesu katika hatari ya kuuawa, na leo hivi likinge Kanisa Takatifu la Mungu katika mitego ya adui, na katika shida yote; mtunze daima kila mmoja wetu, tufwate mfano wako, ili tupate na msaada wako, kukaa na utakatifu maisha, kufa kifo chema, na kupata mbinguni makao ya raha milele. Amina. *LITANIA YA MT. YOSEFU* https://youtu.be/UxdMr9TlUkA?s 🪘 *NYIMBO YA MT. YOSEFU MFANYAKAZI🎹🎹🎹 https://youtu.be/kEbaHfBqA-A?si=6d1z6hde7LnzvkRP* 🥁 💁🏿♂️ *KAULI MBIU YETU...“Tufanye KAZI za BWANA na zetu ZIBARIKIWE”*🙏🏽 ✓ *Tunamshukuru MWENYEZI MUNGU Kwa kutukutanisha kwenye group letu hili KWA HESHIMA YA MT. YOSEFU, lenye dhima ya SALA NA KAZI. (Uhalisia ni MAISHA YA KIROHO na KIMWILI)*. ✓ *Sisi kama WAKRISTO tunao wajibu wa kukumbushana juu ya kusali, na tunao wajibu wa kuzifanya KAZI zetu ziwe sehemu ya SALA, na SHUGHULI zote tuzifanyazo ili zimpendeze Mwenyezi Mungu*. ✓ *Kila mwanagroup anao wajibu sawa kama FAMILIA YA MUNGU NA JUMUIYA YA MT. YOSEFU*. *Kwa NAMNA YA PEKEE TUNAO MAPADRE, MAFRATERI NA WATAWA HUMU KUNDINI*. 🙏🏽🙏🏽🙏🏽 *Asanteni Sana* *Wenu:-* *Ndugu;* *©Adam Stanslaus Nandi*.🤝🤝🤝 ⚡⚡⚡⚡⚡⚡⚡⚡⚡⚡ 📌📌📌📌📌📌HAIRUHUSIWI:- Kutuma LINK YA GROUP LOLOTE, au MAUDHUI yasiyohusu KANISA KATOLIKI, na yaliyo KINYUME CHA MAADILI.📌📌📌📌📌📌. © [email protected]