Search the WhatsAd Community Intelligence index of WhatsApp groups to find the best ones.
1 result in the WhatsAd group index
Verified invite link, member details and advertising options on WhatsAd.
Karibu group la kazi ,ajira,vibarua, day worker, ,post 5+ kila siku , Kwa mungu yote yanawezekana๐๐wageni wote mnakaribishwa tuko mahali salama Kazi zilizopo ni๐ Sheli Maduka ya jumla Kuuza nguo madukani Maduka ya simu& laptops Maduka ya fridges,tv, soundbars nk. Houseboys House girls Waalimu Manurse Vibarua Na kazi na part time Kwa wanachuo zinapatikana pia Kwa maoni, kazi special na matangazo yako njoo inbox
*Fuata Sheria hili kila kitu kiende sawa*โ โ โ โNO LINK โNO UTAPELI โNO DHARAU/MATUSI โNO MATANGAZO YA BETI โHUDUMA NI KWA MAADIMINI TU EPUKA MATAPELI ๐ *๐๐Nakutaki utekelezaji mwema ๐*
Kwenye NJIA zako za UTAFUTAJI jifunze SANA kuwatunza WATU wanao KUAMINI.!!! MUNGU HUTUMIA WATU, KUINUA WATU Na Hatumii Watu wazuri tu Maana yeye Hatazami kama sisi wanadamu tunavyo tazama, Hutumia hata Watu wenye mapungufu sanaa! Unaweza kuwa umeomba weeee Ukutane na Destiny helper wako Na Unadhani Haujajibiwa bado Kumbe Mungu Alishakujibu, Destiny helper wako ndio huyo pembeni yako! Ambae kwa macho yako, na Ufahamu wako Unadhani HAFAI, Kwasababu Umeangalia sana MABAYA/MAPUNGUFU yake kuliko MAZURI YAKE, Ukapoteza Lile kusudio la wewe kukutanishwa nae..... SIKUZOTE TUJIFUNZE Ku Focus na Mazuri ya Mtu Beba vinavyokufaa Visivyokufaa achana navyo Kuhukumu sio kazi Yetu!! MAPITO NI MENGI, KATIKA MAISHA... UTAUMIA, UTALIA, UTAHUZUNIKA, UTAKATA TAMAA, UTAVUNJIKA MOYO, na wakati mwngine kujuta kwa nini ulizaliwa,!! Lakini kaa ukijua hayo yote yanatakiwa kuwepo ili, Kukufanya jasiri katika kuzifikia ndoto na malengo yako,,,, Usikate tamaa,,,, MUNGU yupo kwa ajili yako mtumainie yeye daima naye atafanya wepesi. penye ugumu,,,,, TUSICHOKE KUMSHUKURU NA KUMUOMBA KATIKA KILA HATUA YA MAISHA YETU......
Hailuusiwi kutuma link yoyote kwenye group ZINGATIA HILI UKITUMA LINK UNAKULA BROCK ๐๐๐๐๐๐๐