Hailuusiwi kutuma link yoyote kwenye group ZINGATIA HILI UKITUMA LINK UNAKULA BROCK πππππππ
Verified invite link, member details and advertising options on WhatsAd.
This group was created to support Mr Kopiata Alex through his gospel music πΆβ€οΈ mission πΆ. All are welcomed as you purpose to work for God β€οΈπ Subscribe like share and comment π πππ https://youtu.be/bs5U3_v-YrE?si=Uwb5BsGl8vtFHh32
Kwenye NJIA zako za UTAFUTAJI jifunze SANA kuwatunza WATU wanao KUAMINI.!!! MUNGU HUTUMIA WATU, KUINUA WATU Na Hatumii Watu wazuri tu Maana yeye Hatazami kama sisi wanadamu tunavyo tazama, Hutumia hata Watu wenye mapungufu sanaa! Unaweza kuwa umeomba weeee Ukutane na Destiny helper wako Na Unadhani Haujajibiwa bado Kumbe Mungu Alishakujibu, Destiny helper wako ndio huyo pembeni yako! Ambae kwa macho yako, na Ufahamu wako Unadhani HAFAI, Kwasababu Umeangalia sana MABAYA/MAPUNGUFU yake kuliko MAZURI YAKE, Ukapoteza Lile kusudio la wewe kukutanishwa nae..... SIKUZOTE TUJIFUNZE Ku Focus na Mazuri ya Mtu Beba vinavyokufaa Visivyokufaa achana navyo Kuhukumu sio kazi Yetu!! MAPITO NI MENGI, KATIKA MAISHA... UTAUMIA, UTALIA, UTAHUZUNIKA, UTAKATA TAMAA, UTAVUNJIKA MOYO, na wakati mwngine kujuta kwa nini ulizaliwa,!! Lakini kaa ukijua hayo yote yanatakiwa kuwepo ili, Kukufanya jasiri katika kuzifikia ndoto na malengo yako,,,, Usikate tamaa,,,, MUNGU yupo kwa ajili yako mtumainie yeye daima naye atafanya wepesi. penye ugumu,,,,, TUSICHOKE KUMSHUKURU NA KUMUOMBA KATIKA KILA HATUA YA MAISHA YETU......
DHUMUNI LA GROUP KUFAHAMIANA NA WATU MBALIMBALI,KUONGEZA STATUS VIEWERS, KUSHARE BIASHARA MBALIMBALI ONYO:- 1.Lugha chaf za matusi haziruhusiwi 2. picha za uchi na video za ngono haziruhusiwi 3.Muheshimu kila mmoja kwenye group
π΅ Zion Music Ministry - Mbeya πΉπΏ Kikundi cha vijana wa Kiadventista tunaoimba kwa utukufu wa Mungu. π Lengo: Kushiriki huduma ya muziki, ibada, na taarifa za kikundi. # Zingatia =Sheria za group β οΈ HAIRUHUSIWI: π« Kutuma links au matangazo binafsi π« Matusi, mizaha isiyofaa, au hoja za kidunia β Tumia group kwa: βοΈ Habari za huduma πΆ Mafunzo ya muziki π Maombi na mafundisho βImbeni kwa Bwana wimbo mpya...β β Zaburi 96:1
π₯π₯Group hili limeanzishwa kwa ajili ya biashara kununua bizaa, kuuza bizaa na order za mahitaji yote ... π₯π₯ Bila kusahau huduma zote za electric π‘β‘ ..mafundi wa umeme,feni,redio,tv ,simu,dishi zote na PC .
Group la Marafiki wa Kwaya ya kanisa ka waadventista wa sabato Karakata Dar es salaam Tanzania. Group hili Lina maadili na mlengo wa dini tafadhali usitume kitu kilicho na mlengo tofauti na maadili ya Dini.