RAMANI & UJENZI Tz 🇹🇿🇹🇿
*_🔥 KARIBU KWENYE GROUP LA RAMAN & UJENZI tz..!!! 🔥_*
*Hapa tunakuletea wataalam wa fan mbalimbal za ujenz kwa huduma bora na za kitaalam, zenye lengo la kuhakikisha mirad yako inakamilika kwa ubora unaotakiwa. Huduma zetu ni pamoja na:*
1️⃣ Ubunifu wa Raman za Kisasa
*✔️ Raman ni mwongozo wa ujenzi mzima – bila raman nzur, ujenzi hauwez kufuata vipimo sahih.*
*✔️ Inasaidia kuepuka makosa ya kiufund ambayo yanaweza kuongeza gharama za ujenz.*
*✔️ Raman nzur inahakikisha unatumia nafas kwa ufanis, ikizingatia upepo, mwangaza, na uimara wa jengo.*
2️⃣ Ushaur wa Kitaalam juu ya Ujenz
*✔️ Unapopata ushaur wa kitaalam, unajua gharama sahih za mrad wako na unakwepa matumiz yasiyo ya lazima.*
*✔️ Inakusaidia kujenga kwa kufuata viwango vya kitaifa na kimataifa vya ujenz ili kuepuka matatizo ya baadaye.*
3️⃣ Makadirio ya Gharama za Ujenz
*✔️ Kujua bajeti ya ujenz kabla ya kuanza kunakusaidia kupanga fedha zako vizur.*
*✔️ Kuepusha mshtuko wa gharama kubwa zisizotarajiwa wakat ujenz unaendelea.*
*✔️ Kupata makadirio sahih ya vifaa na gharama za mafund ili kuepuka upotevu wa fedha.*
4️⃣ Huduma za Finishing, Waterproofing & Decoration
*✔️ Finishing nzur inafanya jengo lako lionekane la kisasa na lenye thaman kubwa.*
*✔️ Waterproofing inazuia kuvuja kwa maj, hivyo kulinda jengo lako dhid ya uharibifu wa mapema.*
*✔️ Decoration huongeza mvuto wa jengo, iwe ni nyumba, hotel, au ofis, na kuongeza thaman yake sokon.*
5️⃣ Ufundi wa Mabat na Kaz za Roofing..
*✔️ Paa ni ulinz wa kwanza wa jengo lako dhidi ya mvua, jua kali, na upepo mkal.*
*✔️ Kuweka paa kwa usahih kunahakikisha uimara wa muda mrefu na kupunguza gharama za matengenezo ya mara kwa mara.*
6️⃣ Renovation & Extensions (Ukarabat na Upanuz wa Majengo)
*✔️ Renovation (ukarabat) huongeza uimara wa jengo lililochakaa, likirudishwa katika hal bora kwa matumiz.*
*✔️ Extensions (upanuz) husaidia kuongeza nafas kwenye jengo lako bila kuhitaj kujenga upya.*
*✔️ Ukarabat husaidia kuongeza thaman ya mal yako, hasa kwa nyumba za biashara au makaz ya muda mrefu.*