חפשו באינדקס קבוצות הוואטסאפ של WhatsAd כדי למצוא את הטובות ביותר.
תוצאה אחת באינדקס הקבוצות של WhatsAd
Atenção ⚠️ ⚠️ Grupo criado para falar sobre lugares e assuntos de São Paulo capital e região Lugares turísticos.Link do grupo para convidar mais participantes: [link hidden — subscribe to view]?mode=gi_t. Proibido 🚫 divulgar links Proibido 🚫 política
קישור הזמנה מאומת, פרטי חברים ואפשרויות פרסום ב-WhatsAd.
Karibu kwenye group la wanaume "AFYA BORA YA TEZI DUME&FURAHA YA TENDO" Furahia elimu itakayo kupa ufahamu na kukusaidia kuboresha tezi dume lako kupitia elimu tunazo toa. Tumejiandaa na tumejipanga kuhakikisha kila mmoja wetu ana nufaika kupitia magroup yetu. Tezi dume ndio furaha kwa mwanaume tudumishe pamoja na kutokomeza maradhi yake kwa pamoja💪
No
Karibu sana dada au mama kwenye Group la Afya Bora ya Uzazi kwa Mwanamke. Tunafurahi kukuona hapa, maana sasa umejiunga na jamii ya wanawake wanaotaka kuboresha afya zao kwa njia salama, sahihi na za kitaalam. Katika group hili utapata. 1.Elimu ya kina kuhusu UTI sugu, fangasi, miwasho, PID, maumivu ya tumbo la uzazi ,uvimbe kwenye kizazi,Endometriosis,kuziba kwa mirija ya uzazi,Hormone imbalance,Miscarriages, n.k. 2.Ushauri wa kibinafsi kuhusu hedhi isiyo sawa(irregular period), maumivu, uzazi na changamoto nyingine. 3.Miongozo ya lishe na tiba lishe ambazo zimewasaidia wanawake wengi kurudi katika hali yao ya kawaida. 4.Ofa maalum za bidhaa zinazosaidia afya ya uzazi kwa gharama nafuu kwa wanachama wa group pekee. 5.Mafunzo ya mara kwa mara yanayoendeshwa na Dr. Khim Ibrahim kutoka Afyataasisi. 6.Matibabu ya kuduma ya matatizo yote ya uzazi kama vile uvimbe kwenye kizazi bila upasuaji mfano ocysts na fibroids,saratani ya shingo ya kizazi,kuzibua mirija ya uzazi,kuweka s awa mzunguko wako wa hedhi,kurekebisha homoni zako,Ugumba,mimba kuharibika mara kwa mara nk Lengo letu. Kukusaidia kuimarisha afya yako ya uzazi, kuondoa changamoto zinazorudia-rudia, na kuhakikisha mwili wako unarudi katika uwiano wake wa kawaida. Jisikie huru kuuliza chochote muda wowote kwan upo sehemu sahihi. Karibu sana, safari ya kuboresha afya yako inaanza leo 💚 Kwa maswala private unaweza kuwasiliana na mtaalamu moja kwa moja kwa njia ya kupiga simu au ujumbe mfupi wa meseji ya kawaida au ya whatsapp,0754638695.