E-KIJUMBE[MICHEZO, VIKOBA & MIKOPO]
🌀 e-Kijumbe ni nini?
e-Kijumbe ni jukwaa la kidigitali linalowaunganisha Watanzania kushirikiana kifedha kupitia vikundi vya vikoba vilivyo salama, wazi na vya kisasa. Kwa kutumia simu yako tu, unaweza:-
1. Kujiunga na vikoba vya waaminifu
2. Kupokea mchango wako kwa wakati
3. Kukopa kwa uaminifu bila dhamana
✅ Faida za Kujiunga na e-Kijumbe
1. 📱 Vikoba Kiganjani: Chagua kikundi, changia na pokea pesa kwa njia rahisi.
2. 🔒 Usalama na Uwazi: Taarifa zako zinalindwa, kila hatua inaoneshwa wazi.
3. 🔄 Mzunguko wa Haki: Michango inafuata utaratibu uliowekwa.
4. 🧠 Mfumo wa Trust Score: Unavyowajibika, ndivyo unavyoaminika zaidi.
5. 💸 Mikopo ya Mchango: Ukiwa huna pesa ya kuchangia, e-Kijumbe itakukopesha kuchangia, kisha italipwa kutoka kwenye mchango utakaopokea (riba ya 30%).
6. 💳 Main Loan (Mkopo Mkubwa): Unastahiki mkopo mkubwa unaolingana na kikoba chako, unaorejeshwa ndani ya siku 30 – bila presha, kwa uaminifu.
7. 🤝 Referral Bonus: Mwalike mtu mwingine ajiunge, trust score yako hupanda na nafasi yako hukua.
💰 Ada ya Uanachama
Kabla ya kujiunga na mfumo wa e-Kijumbe, mwanachama analipa ada ya uanachama ya TZS 1,000. Ada hii ni ya mara moja tu na inahakikisha mfumo unakua wa waaminifu pekee.
📊 Masharti ya Kukopesheka
1. Uchangiaji mfululizo bila kuruka
2. Historia nzuri ya uaminifu
3. Kukamilisha ada ya uanachama
4. Hakuna akaunti zaidi ya moja (isipokuwa kwa kibali maalum)
📲 Jinsi ya Kujiunga
1. Tembelea: www.ekijumbe.xyz
2. Lipa ada ya uanachama (TZS 1,000)
3. Jisajili kwa namba ya simu
4. Jiunge na kikundi
5. Anza kuchangia na kufurahia huduma
☆ karibuni sana ekijumbe.