TANZANIA BARA, ZANZIBAR, PEMBA NA UNGUJA FURSA YA UHAKIKA 2025(2️⃣0️⃣2️⃣5️⃣)
Kwenye NJIA zako za UTAFUTAJI jifunze SANA kuwatunza WATU wanao KUAMINI.!!!
MUNGU HUTUMIA WATU, KUINUA WATU
Na Hatumii Watu wazuri tu
Maana yeye Hatazami kama sisi wanadamu tunavyo tazama, Hutumia hata Watu wenye mapungufu sanaa!
Unaweza kuwa umeomba weeee
Ukutane na Destiny helper wako
Na Unadhani Haujajibiwa bado
Kumbe
Mungu Alishakujibu, Destiny helper wako ndio huyo pembeni yako! Ambae kwa macho yako, na Ufahamu wako Unadhani HAFAI, Kwasababu
Umeangalia sana MABAYA/MAPUNGUFU yake kuliko MAZURI YAKE, Ukapoteza Lile kusudio la wewe kukutanishwa nae.....
SIKUZOTE TUJIFUNZE
Ku Focus na Mazuri ya Mtu
Beba vinavyokufaa
Visivyokufaa achana navyo
Kuhukumu sio kazi Yetu!!
MAPITO NI MENGI, KATIKA MAISHA...
UTAUMIA,
UTALIA,
UTAHUZUNIKA,
UTAKATA TAMAA,
UTAVUNJIKA MOYO, na wakati mwngine kujuta kwa nini ulizaliwa,!!
Lakini kaa ukijua hayo yote yanatakiwa kuwepo ili, Kukufanya jasiri katika kuzifikia ndoto na malengo yako,,,,
Usikate tamaa,,,, MUNGU yupo kwa ajili yako mtumainie yeye daima naye atafanya wepesi. penye ugumu,,,,,
TUSICHOKE KUMSHUKURU NA KUMUOMBA KATIKA KILA HATUA YA MAISHA YETU......