Ищите в каталоге групп WhatsApp от WhatsAd, чтобы найти лучшие.
1 результат в каталоге групп WhatsAd
Karibu sana wadau wote! Group hili limeanzishwa kwa ajili ya kupeana uzoefu kuhusu ujenzi wa nyumba zako na za wateja wako. Hapa utapata: • Mafundi waaminifu wa kazi zote • Bidhaa bora za ujenzi • Ushauri na majibu ya maswali yote yahusuyo ujenzi • Fursa za viwanja, mashamba, nyumba zinazouzwa na za kupangisha • Ramani mbalimbali za nyumba na ushauri wake Unaruhusiwa: • Kushirikiana na kushauriana mawazo kuhusu ujenzi wa nyumba • Kujadili mada zinazohusu ujenzi • Kutangaza biashara inayohusiana na sekta ya ujenzi (Ijumaa na Jumapili pekee) • Kutangaza viwanja vinavyouzwa, mashamba yanayouzwa, nyumba zinazouzwa, nyumba za kupangisha na ramani Hairuhusiwi: • Lugha za matusi au kejeli • Picha au maudhui yasiyo na maadili • Mijadala isiyohusiana na ujenzi • Kutuma matangazo mara kwa mara bila mpangilio (spam) • Kutuma namba binafsi za watu bila idhini Ukikiuka masharti haya, utaondolewa kwenye group bila taarifa na hautarejeshwa tena. Karibu tujenge pamoja! Nyumba bora hujengwa na fundi bora
Проверенная ссылка-приглашение, данные об участниках и опции рекламы на WhatsAd.
*TUNAKUKARISHA KWENYE GROUP LETU LA AFYA YA MWANAUME ELIMU NA TIBA ASILIA*👇👇👇👇👇 *UTANGULIZI* ✍️Hapa utaweza kujifunza mambo mbalimbali ya kuimarisha afya yako kama mwanaume, vyakula vya kutumia zaidi kama mwanaume na mambo mengine mengi zaidi yanayohusu afya ya uwanaume wako. ✍️Pia kama unatatizo lolote linalokusumbua hasa kama umeathiriwa na kujichua, kibamia,kushindwa kustahimili kwenye tendo la ndoa Kwa muda mrefu na kurudia tendo Kwa wakati, uume mdogo, mwembamba, na changamoto zote zinazohusu afya ya mwanaume, utakuwa upo sehemu sahihi. ✍️Kwani kupitia group hili utapata ushauri na namna ya kurudisha afya yako ya uume iwe imara kupitia program za mazoezi maalum ya uume, program za virutubisho maalum asilia zilizothibitishwa na wataalam mbalimbali, zitakazokusaidia kuimarisha afya yako na uwanaume wako moja Kwa moja. ✍️Group litafunguliwa Kwa wiki mara mbili Ili kuruhusu majadiliano hasa katika afya ya mwanaume siku zingine ukiwa na swali au tatizo muone admin inbox naye atakusaidia Kwa asilimia mia Moja. ✍️Masomo yatakuwa yanatumwa na admin Kila siku,kupitia group letu hivyo uwepo wako katika group hili Wala hujabahatisha upo sehemu sahihi na salama. 🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝
TUNATOA ELIMU JUU YA MAGONJWA HAYA NA SULUHISHO LAKE ✓CANCER AINA ZOTE ✓KISUKARI AINA ZOTE ✓MFUMO WA DAMU ✓BAWASILI ✓TEZI DUME ✓SHIDA ZOTE ZA MFUMO WA UZAZI (ME & KE). ✓VIDONDA VYA TUMBO N. K