MCHANGO WA MATIBABU YA ESTHER J.MKACHA
Esther Mkacha ni mtoto wa Mchungaji Jeremiah Mkacha ,alipata ajali ya kuungua na moto ulishika nguo ,ukamuunguza tumbo lote,mapaja na mikono yake ,kufanya kuwa na ulemavu wa vidole na mikono yake ,na hivyo ameshindwa kujihudumia kwa mambo mengi ,ikiwepo kuandika kwa shida ,tuwahi kumpeleka kwenye matibabu katika hospitali Muhimbili Dar ,lakin mikono yake haikukaa sawa ,nahivyo tumepata hospital nje ya nchi ,(India) hospital ya SAHYADR NA APOLLO HOSPITAL Nch INDIA inaweza kumtibu mtoto wetu ,,kwa gharama ya Tsh 58,356,000 (millions) ,hivyo tunaleta ombi maalum kwako ,kam ndg,rfk,kiongozi wetu,utusaidie / mtusaidie kadri ya uwezo wenu na huruma yenu ,ili mtoto wetu apate matibabu na aweze kutimiza ndoto zake ,,tunatanguliza shukran zetu kwako au kwenu kwa moyo wako wa huruma ,kujali ,na kusaidia ,Bwana wa aman akuongezee / waongezee zaidi, by mzazi wa Esther Mkacha, mch.JM Mkacha,