WATEULE WA MUNGU NI WATU WA NAMNA GANI?๐ JAWABU:- โNi watu ambao ni Mboni ya Jicho la Mungu mwenyewe.imeandikwa katika Warumi 8:33 Ni nani atakayewashitaki wateule wa Mungu? Mungu ndiye mwenye kuwahesabia haki. โWana wa Mungu na waliochaguliwa na Mungu Mwenyezi kupitia Kristo Yesu na wamejazwa nguvu ya Roho Mtakatifu ndani yao. Biblia inasema katika Yohana 15:16 "Si ninyi mlionichagua Mimi, Bali ni Mimi niliyewachagua ninyi;nami nikawaweka mwende mkazae matunda; na matunda yenu yapate kukaa; Ili kwamba lolote mmwombalo Baba Kwa Jina langu awapeni". โWamemwamini Yesu Kristo na kuokoka na Kubatizwa Kwa maji Mengi na kutengwa mbali na dhambi na wamejazwa Roho Mtakatifu. โWamependwa na Mungu Na wamefanyika viumbe vipya na warithi wa Ahadi zilizo Bora hata uzima wa Milele hata Milele na Milele Amina-Yohana 3:16. โWatakatifu na wameoshwa mavazi yao Kwa damu ya Yesu Kristo. โWamejikana na kuubeba mioyoni mwao Msalaba wa Yesu Kristo na kumfuata Mwokozi wao maisha yao yote-Marko 8:34. โMwilini mwao Wamezibeba chapa(Nguvu za Roho Mtakatifu)zake Yesu Kristo-Wagalatia 6:17. โWenye Haki wa Mungu alie hai na wamepewa Jina jipya na kuitwa Kwa Jina lake Mungu.๐ Tusome Isaya 43:7 MUNGU anasema hivi, Kila mmoja aliyeitwa kwa jina langu, niliyemwumba kwa ajili ya utukufu wangu; mimi nimemwumba, naam, mimi nimemfanya. ๐โ๏ธโ๏ธ+ Ufafanuzi na mwingineo kama huo .. Mwisho:๐ Mtu na atuhesabu hivi[Wateule wa Mungu] ,kuwa tu Watumishi wa Kristo na Mawakili wa Siri za Mungu-1Kor 4:1. Haleluya Wateule wa Mungu,Amina na Amin.
Verified invite link, member details and advertising options on WhatsAd.
MWISHO UMEKARIBIYA UNABII UNATIMIYA TUBU da Matayo 24.1
MATHIEU 28:18-20 ๐บ๐ฌ๐ง๐ผ๐จ๐ฎ๐จ๐ฉ๐๐ค ๐ค๐ค๐ค๐ค๐ค๐ค๐ค Mathayo 28 18 Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani. 19 Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu; 20 na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.
Group hili linahusu kushirikiana pamoja kuandaa Ibada mbalimbali za makanisa mbalimbali ibada za kusifu na kuabudu kama matamasha mikesha makongamano semina na matukio mbalimbali ya kikristo na pia group hili tutapeana ushirikiano mwenzetu akipata shida tutamsaidia tunahitaji umoja na ushirikiano
NENO LA MUNGU NI UZIMA. Matendo ya mitume 13:46 Ufunuo w Yoane 2:7
๐KARIBUNI TUJIFUNZE BIBLIAโ๏ธ ๐HOLINESS IS OUR PRIORITY.โ๏ธ ๐KUHUBIRI UTAKATIFU NDIO KIPAUMBELE CHETU.โ๏ธ SHERIA ZA GROUP ๐ โ๏ธSIO RUHUSA KUTUMA MATANGAZO YOYOTE NDANI YA GROUP. โ๏ธLUGHA ZA MTAANI HAZIRUHUSIWI โ๏ธHATURUHUSU KUTUMA LINKS ZA MAKUNDI MENGINE HUMU โ๏ธTUNARUHUSU KUTUMA MAMBO YAHUSUYO BIBLIA PEKEE YAKE โ๏ธNI VIZURI KUSHIRIKIANA NA WENGINE WANAPO JIFUNZA
๐๐๐๐๐๐ 1 ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐. ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐. ๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ 2. ๐๐๐๐๐. ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐. ๐๐๐๐๐๐๐๐ 3 ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ 4. ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ 4. ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐. ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ 5. ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐ข๐๐ 6 ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐. ๐๐๐๐